Sunday, 1 December 2019

Meseji nzuri za kumteka mpenzi wako

“I want your most vital organ. I want it to be mine.”

“Nahitaji Kiungo chako muhimu zaidi, Nataka kiwe changu”

“Your memory feels like home to me.
So whenever my mind wanders, it always finds it’s way back to you.”

“Nikikumbuka mambo yako nayaona kama nyumbani kwangu, kwahiyo wakati wowote akili yangu inapopotea, daima natafuta njia ya kurudi kwako “



“There is an ocean of silence between us… and I am drowning in it.”



“Kuna bahari ya utulivu kati yetu … na ninazama ndani yake.”


“If you cannot hold me in your arms, then hold my memory in high regard.
And if I cannot be in your life, then at least let me live in your heart.”

“Ikiwa huwezi kushikilia mikononi mwako, basi ushikilie kumbukumbu yangu kwa kuzingatia sana. Na kama siwezi kuwa katika maisha yako, basi angalau niachie niishi moyoni mwako.

Even if I spend the whole day with you, I miss you the second you leave.

Hata kama nikishinda siku nzima na wewe, Nitakumisi sekunde tu utakapondoka

1 comment: