There is no reason, no question, no answer, no logic why I love YOU.
Hakuna Sababu, hakuna swali, hakuna jibu, hakuna mantiki kwanini nakupenda
I love you because I do. I love you because the Universe showed me the way to you. I love you because my heart beats your name, my mind drowns in your eyes, my soul feels yours even when we are miles apart.
Nakupenda kwasababu nakupenda, Nakupenda kwasababu ulimwengu umenionyesha njia kwako, Nakupenda kwasababu moyo wangu unapiga mapigo ya jina lako, Akili yangu imezama kwenye macho yako, nafsi yangu huhisi yako hata wakati sisi ni maili mbali.
I love you because I have no choice; I didn’t ask to love you. I didn’t need to love you, but I love you just the same. My arms aren’t filled unless you’re in them and my thirst is not quenched unless you are the drink.
Ninakupenda kwa sababu sina chaguo; Sikuomba kukupenda. Sikupanga kukupenda, lakini nakupenda kama kawaida . Mikono yangu ni mitupu mpaka ninapokushika, na kiu changu hakikauki mpaka unapokuwa maji yangu
I love you because I feel comfort in being out of my comfort zone with you by my side. I love you because every cell of my body responds to your touch, to your look, to the way you move and the way you sound. I love you because something, somewhere, directed me to you.
Ninakupenda kwa sababu ninahisi faraja kwa kuwa nje ya eneo langu la faraja na wewe ukiwa pembeni yangu. Ninakupenda kwa sababu kila kiini cha mwili wangu hujibu kwa kugusa kwako, kwa kuangalia kwako, kwa jinsi unavyohamia na jinsi unavyosikia. Ninakupenda kwa sababu kitu fulani, mahali fulani, kinaniongoza kwako
No comments:
Post a Comment