Wednesday, 18 December 2019

Nimekumiss



Nimekuwa kama hayala Wa jangwani kwa kuyatamani maji kwa muda mrefu ,kwangu Mimi naona kiu ya kuutazama USO wako na kuona tabasanu lako, furaha yangu iko katika kusikiliza maneno yako. Kuwa kwangu furaha na kicheko kitoke moyoni kwangu katika kuyafurahia maneno yako matamu


Ukweli siku zote utabaki kuwa ukweli tu, kuna magonjwa mengine kweli hayana madaktari, nami nimeumwa ugonjwa huo, nakosa amani moyoni kwakuwa nimekumiss mpenzi wangu, natamani kila SAA uwe karibu yangu naumwa naugulia ugonjwa Wa kupenda nawe ndiwe dawa yangu sauti yako ndiyo kinywaji change, sindano yangu in maneno yako

No comments:

Post a Comment