SMS MAPENZI : NAOMBA UWE WANGU TU
Ewe nikupendae mapenzi yangu kwako kila siku uwaka moto, najikuta kama mgonjwa wa mapenzi kwa ajili yako. furaha yangu ni kukuona ukifurahi na kutabasamu katika penzi letu, na uwe wangu peke yangu nikupe raha peke yako.
Penzi lang kwako halina mfano ila zaid jinsi unipendavyo nakosa majibu ya kueleza hakika sihtaji kushare mapenzi na mtu mwingine yeyote umekuwa kwangu furaha na kicheko, umekuwa kwangu tabasamu na bashasha, raha yangu imeongezeka napokuwa na wewe, utulivu tuli niwapo nawe.NAKUPENDA NAOMBA UWE WANGU TU.
Nafurahi kuwa na mtu nimpendae kama wewe ambae umenifurahisha na kunipa raha, katika changamoto na huzuni umenifariji penzi letu limekuwa kama bustani iliyopandwa kando ya mto wa utulivu,maji yake yakitia unyevunyevu katika ardhi na maua kupendeza, naomba uwe wangu tu.
No comments:
Post a Comment